Home video MAVUNDE:KADI NYEKUNDU YAWAATHIRI DODOMA JIJI,SIMBA SIO TIMU YA KUTISHA

MAVUNDE:KADI NYEKUNDU YAWAATHIRI DODOMA JIJI,SIMBA SIO TIMU YA KUTISHA

KIONGOZI Anthony Mavunde amebainisha kuwa Red Card, (kadi nyekundu) ambayo ilitolewa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Simba ambayo alionyeshwa Anuary Jabir iliweza kuwaathiri kwa kuwa Dodoma Jiji walikuwa wanacheza pungufu.


Kwenye Mchezo huo wa ligi Simba iliweza kushinda bao 1-0 lilifungwa na Meddie Kagere huku Mavunde akibainisha kuwa Simba sio timu ya kutisha sana.

 

SOMA NA HII  VIDEO:YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA MADENI, YAPIGA HESABU KUVUKA HATUA YA MAKUNDI