Home video MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA KABLA YA KUMENYANA NA DODOMA JIJI

MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA KABLA YA KUMENYANA NA DODOMA JIJI

KIKOSI cha Simba leo Oktoba Mosi, kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa mzunguko wa pili unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma haya hapa mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo huo.

 

SOMA NA HII  KIPA ALIYETUNGULIWA NA MAYELE ATAJA SABABU ZA KUFUNGWA