news

KAGERE, KIBU DENIS KUONGOZA MASHAMBULIZI DHIDI YA RUVU SHOOTING…KIKOSI KAMILI HIKI HAPA…

admin November 19, 2021 12:30 pm


Washambuliaji Medie Kagere na Kibu Denis wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo  wa leo dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza saa 10 jioni.

Kagere na Kibu watapata huduma ya karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Hassan Dilunga na Bernard Morrison.

Jonas Mkude na Mzamiru Yassin wamepangwa katika kiungo wa ulinzi huku Joash Onyango na Pascal Wawa wakicheza pamoja nafasi ya mabeki wa kati.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Pascal Wawa (6), Jonas Mkude (20), Hassan Dilunga (24), Mzamiru Yassin (19), Medie Kagere (14), Kibu Denis (38), Bernard Morrison (3).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Gadiel Michael (2), Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Sadio Kanoute (13), Duncan Nyoni (23), John Bocco (22), Pape Sakho (23), Yusufu Mhilu (27).

AJIBU YAMKUTA SIMBA…PABLO AMUONDOA KIKOSINI MAPEMA TU…ISHU NZIMA IKO HIVI…. FT: RUVU SHOOTING 1-3 SIMBA SC….KAGERE ATAKATA..KIBU DENIS AONA ‘MWEZI’….

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply