Home news HII HAPA CV ‘BAB KUBWA’ YA KOCHA MPYA WA VIUONGO SIMBA…NAYE...

HII HAPA CV ‘BAB KUBWA’ YA KOCHA MPYA WA VIUONGO SIMBA…NAYE KAPITA ‘MULE MULE’ ALIKOPITA MWENZAKE…

 


Klabu ya Simba imefanikiwa kumpata kocha mpya wa viungo, Daniel De Castro Rayes raia wa Hispania ambaye anakuja kuongeza nguvu katika benchi la ufundi.

De Castro anaungana na Kocha Mkuu Pablo Franco aliyetua nchini wiki iliyopita ambaye naye ametoka Hispania.

Msimu wa 2020/21 De Castro alikuwa Kocha Msaidizi wa Viungo wa Timu ya Politehnica las ya Romania.

Msimu wa 2019/20 De Castro alikuwa kocha msaidizi wa viungo wa timu ya Rapid Bucharest ya Romania pia.

Msimu wa 2018/19 De Castro alikuwa kocha msaidizi wa timu ya Real Madrid ya vijana chini ya miaka 18 ambayo ilitwaa Ubingwa wa Hispania.

SOMA NA HII  EBWANA EHEE..ISHU YA BAJANA KUMBE BADO MBICHI ....SIMBA NA AZAM USO KWA USO...