Home BIashara United UKIACHA MAMBO MENGINE ‘MEUSI’…HIZI HAPA SABABU ZA CAF KUITEMA BIASHARA …TFF WATIA...

UKIACHA MAMBO MENGINE ‘MEUSI’…HIZI HAPA SABABU ZA CAF KUITEMA BIASHARA …TFF WATIA NENO..

 


KLABU ya Biashara United imetolewa rasmi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushindwa kusafiri kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya.

Katika barua iliyotumwa na CAF kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeeleza kuwa uamuzi wa kuiondosha timu hiyo umefanywa na kamati ya mashindano ya Shirikisho hilo.

Kwa mujibu wa CAF wameeleza kuwa sababu zilizoifanya timu hiyo kushindwa kwenda Libya kucheza mechi hiyo ya hatua ya pili ya raundi ya awali hazikutokana na dharura za mechi hiyo ambayo ilipangwa kufanyika Oktoba 23, Jijini Benghazi nchini Libya.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Oktoba 15 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-0.

SOMA NA HII  DONE DEAL...MNIGERIA NA SIMBA IMEISHA HIYO...APEWA MIWILI...NKANE CHINI YA UANGALIZI YANGA...

1 COMMENT

  1. you are in reality a good webmaster. The website loading speed is amazing.
    It seems that you’re doing any unique trick. Also, The contents are masterwork.
    you have performed a magnificent task on this matter!

    Here is my web blog; Oberheiden P.C. – Your Trusted
    Criminal Defense Attorneys Nationwide (www.cargodirectory.co)