Home kimataifa VARANE NI MALI YA MANCHESTER UNITED

VARANE NI MALI YA MANCHESTER UNITED


MANCHESTER United imekamilisha usajili wa beki kutoka Real Madrid, Raphael Varane.

Beki huyo amejiunga na United kwa dili la miaka minne litameguka Juni 2025.

Dau lake ni pauni milioni 41 jambo ambalo limewafanya mabosi wake wa zamani Real Madrid kukubali kumuuza nyota huyo.

Nyota huyo mwenye miaka 28 leo anawatazama United wakipambana mbele ya Leeds kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambapo nyota mpya Jadon Sancho ameanzia benchi

SOMA NA HII  KOCHA MPYA MAN UNITED AANZA KAZI KWA MKWARA WA KUFA 'NTU' AISEE...AFUPISHA LIKIZO ZA MASTAA ....