Home Uncategorized GWAMBINA FC YAMTENGEA MAMILIONI NYOTA WA YANGA

GWAMBINA FC YAMTENGEA MAMILIONI NYOTA WA YANGA


TIMU ya Gwambina FC ya Mwanza ipo mtaani ikisaka saini ya kiungo wa Yanga Pius Buswita ambaye kwa sasa ni mchezaji huru.

Buswita amemaliza mkataba wake na Yanga na hajaongezwa kandarasi nyingine hivyo yupo huru kwa sasa.

Taarifa zinaeleza kuwa tayari mabosi wa Gwambina FC wameweka mezani dau la milioni 10 kumpata nyota huyo.

SOMA NA HII  AS KIGALI LAZIMA WAKE LEO