Home Habari za michezo CHAMA KAYAKANYAGA ALIDHANI NI ROBERTIHNO KUMBE NI MWAMBA BENCHIKHA…

CHAMA KAYAKANYAGA ALIDHANI NI ROBERTIHNO KUMBE NI MWAMBA BENCHIKHA…

Habari za SImba SC

Malezi ndio kitu kilinachomsumbua Chama bila ya yeye kujua yupo wapi kwa wakati gani, Wale Jamaa wanaomlipa fedha kupitia Agent zao Zambia ameona ndio hakuna zaidi kumbe dua za watu zinasikika Mungu sio wako peke yako kila siku.

Amefanya makosa mengi sana makubwa anasamehewa au kunyamaziwa huku akiendelea kukinga akaona kawapatia sasa amekutana na Mtu kazi huwezi kufanya unavyotaka sasa ndani ya Simba halafu watu wakutuluze hakujua Mamlaka aliopewa BENCHIKHA ni makubwa sana sasa amefanya kosa la kijinga kabisa ambalo ndio linagharimu maisha yake kulingana na matukio yote ya nyuma huwezi Kutukana kocha FUCK…..OFF halafu unaambiwa na wenzako umekosea unaonyesha jeuri na kejeli sasa Dawa yako ikafika kwa Kocha Mkuu akamwaga vyote Mboga na Ugali hapo hapo yamebaki maji ya kunawia tu mezani…

Sasa ni Muda wa wale waliokuwa wanamtaka Waendelee kumtaka na kumlipa kupitia Zambia ili awe wao kabisa Wana Simba walishachoshwa na Chama muda tu wala hawapigi kelele tena BENCHIKHA kama kurahisisha kazi maana Viongozi waliumbwa na Haya wakawa wanatafuta mbinu ila walificha Mkataba mpya na uliopo unaisha Mwisho wa msimu hivyo ni yeye na Matajiri wake tu wawekane sawa aidha wasubirie kesi iishe na awe huru Mwisho wa Msimu au Wavunje kataba sasa iliobaki.

Turahisishe Mambo Kocha hataki kumuona katika Program zake zots kuanzia sasahivi na Wana Simba wapo Bega kwa Bega na Kocha zamani ilikuwa Lazima uingie kwenye mfumo wa Chama sasahivi Chama hawezi kuingia hata kama mfumo wa kocha kwetu tunasema FILI MANYATI.

Kumeanza Propaganda toka kwa Upande wa pili katika Kumtetea na kuonyesha Umma kuwa Chama bora sana ili kitengeneza Tension ya kufanya Kama Mkude wakati ule tunasema wanajisumbua Biashara ipo wazi na hawahitaji kutumia nguvu ni Uchaguzi wao tu maana ni mtu wao siku nyingi wanaemtumia Kwa Simba IMETOSHA.

Hakuna cha BENCHIKHA kuingia katika mfumo wa Chama wala Mavi yake Chama kuingia katika mfumo wa BENCHIKHA firahuni akifariki lazima aangukie kifudifudi.

Makala haya yameandikwa na shabiki wa Simba anayejulikana kama Mti Mkavu anayepatikana kwa namba @0711754029

SOMA NA HII  WAKATI WAKIJIANDAA NA SIMBA...NABI AIBUA MAPYA YANGA...BALAMA MAPINDUZI , ADEYUN WAHUSIKA...