Home news KARIAKOO DABI: HAKUNA MBABAE…..YANGA YABAKI NA ZAKE..SIMBA WAENDELEA NA ZAO…

KARIAKOO DABI: HAKUNA MBABAE…..YANGA YABAKI NA ZAKE..SIMBA WAENDELEA NA ZAO…


DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Mkapa na ngoma kuwa nzito kwa timu zote ambapo zimegawana pointi mojamoja.

Mpaka mwamuzi wa kazi Herry Sasii anapulizi kipyenga hakuna mbabe kwenye mchezo wa leo.

Yanga inaendelea na rekodi yake ya kucheza mechi ya nane bila kufungwa huku Simba ikiikwama kuivunja rekodi ya Yanga ya kucheza mechi zake bila kufungwa.

Yanga inafikisha pointi 20 nafasi ya kwanza Simba pointi 18 nafasi ya pili.

SOMA NA HII  KUHUSU UJIO WA MAKABI BONGO....TAARIFA MPYA HII HAPA KUTOKA SIMBA SC...