Home news BAADA YA MORRISON KUMTAJA KUWA ANAMFUNDISHA LUGHA YENYE MATUSI…MKUDE AIBUKA NA KUMJIBU...

BAADA YA MORRISON KUMTAJA KUWA ANAMFUNDISHA LUGHA YENYE MATUSI…MKUDE AIBUKA NA KUMJIBU HAYA…


Baada mchezaji wa Simba Sc, Bernard Morrison kudai kuwa mchezaji mwenzake Jonas Mkude ndiye amekua akimfundisha Lugha ya Kiswahili chenye matusi, hatimae Mkude amekanusha hilo.

Mkude amekanusha hilo kupitia show ya #LaviDavi ya Wasafi Fm, akijibu moja ya maswali ya mtangazaji @divatheebawse alietaka kujua kama ni kweli au la! Jambo ambalo Mkude amekanusha na kudai Morrison ni mtu mcheshi na alizungumza suala hilo katika hali ya ucheshi tu.

SOMA NA HII  CHAMA AZINGUA MAZOEZINI SIMBA...AINGIA KWENYE 'HISTORIA MBAYA'..ASHINDWA KUPIGA PENATI...