Home news MO AFANYA KUFRU NYINGINE SIMBA…ATOA KAULI YA MWAKA KUELEKEA MECHI NA WAIVORY…SASA...

MO AFANYA KUFRU NYINGINE SIMBA…ATOA KAULI YA MWAKA KUELEKEA MECHI NA WAIVORY…SASA NI MSELELEKO TU…

 


Mwekezaji kunako Klabu ya Simba Mohammed Dewji “Mo Dewji” ameiagiza Klabu ya Simba kushusha Viingilio kutoka Elfu 5000 mpaka Shilingi elfu 3000, katika mchezo wake dhidi ya Asec Mimosas kutoka nchini Ivory Coast.

Mo ametoa kauli hiyo hii juzi alipotembelea Kambi ya Simba na amesema lengo kubwa ni kuwapa fursa Mashabiki kujaa Uwanjani kuja kuisapoti timu kwani bila Mashabiki hakuna Simba.

Hapo awali viingilia katika Mchezo huo unaokwenda kupigwa Februari 13, vilikua ni Shilingi 5000, 20,000 na 40,000.

SOMA NA HII  TWENDE MBELE TURUDI NYUMA...UKWELI MCHUNGU HATA SIMBA BADO HAIJAFANIKIWA..