Home news MAYELE, CHAMA NA LUSAJO WAGOMBANISHWA…MMOJA KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI...

MAYELE, CHAMA NA LUSAJO WAGOMBANISHWA…MMOJA KUTWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI HUU…

Wachezaji, Fiston Mayele wa Yanga , Lusajo wa Namungo na Chama wa Simba wamefanikiwa kuingia katika hatua ya mwisho ya kupigiwa kura ya kumchagua mchezaji bora wa mashabiki kwa mwezi wa pili .


Kinyang’anyiro cha kumpata mshindi wa tuzo hizi mpya kimeanza leo ambapo mashabiki kupitia wavuti hili na mitandao yetu ya kijamii, mtapata fursa ya kumchagua mchezaji mnayempenda ambapo mwisho wa kupiga kura ni tarehe 15 ya mwezi huu wa tatu.

Wachezaji walioingia kwenye hatua hii, wote kwa nafasi zao wamezifanyia kazi kubwa timu zao kwa mwezi wa pili ambapo timu zao zilipata matokeo chanya kwenye baadhi ya mechi kutokana na juhudi zao.

Jinsi ya kupiga kura ni rahisi , ambapo utabonyeza picha ya mchezaji aliyekuvutia kwa mwezi wa pili kati ya hao watatu hapo chini kisha utabonyeza sehemu palipoandikwa ‘vote’ .


SuperSurvey

SOMA NA HII  KUHUSU ISHU YA MASAI KUPIGA POLISI ZNZ...MANARA KAIBUKA NA HILI JIPYA.....