Mzunguko wa 18, ratiba ya Ligi Kuu Bara:-
- Mbeya City v Kagera Sugar, Machi 12, Uwanja wa Sokoine.
- Coastal Union v Ruvu Shooting, Uwanja wa Mkwakwani, Machi 12.
- Mtibwa Sugar v Geita Gold, Uwanja wa Manungu Machi 13.
- Dodoma Jiji v Mbeya Kwanza, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Machi 13.
- Biashara United v Prisons, Machi 15,Uwanja wa Kirumba.
- Namungo v Azam FC, Uwanja wa Ilulu,Machi 16.
- Yanga v KMC, Uwanja wa Mkapa, Machi 19.
- PolisiTanzania v Simba itapangiwa tarehe..