Home Kagame Cup KAGAME: YANGA 1-0 NYASA BIG BULLETS

KAGAME: YANGA 1-0 NYASA BIG BULLETS


KOMBE la Kagame

Uwanja wa Mkapa

Kipindi cha kwanza

Yanga 1-0 Nyasa Big Bullets 

Dakika ya 11 Kabwili anaokoa hatari

Dakika ya 7 Ambundo anatoa pasi kwa Wazir Junior,Goooal

Dakika ya 3 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Nyasa

SOMA NA HII  KAGAME INATUUMBUA KWENYE UWEKEZAJI WA VIJANA, RATIBA YETU