Habari za michezo

BODI YA LIGI YAMSHUKIA JUMLA JUMLA MASOUD DJUMA KWA KUPIGANA MATEKE NA MCHEZAJI WAKE…

admin May 19, 2022 2:52 am


Kocha wa Dodoma Jiji, Masoud Djuma na mchezaji wa timu hiyo Jamali Mtegeta wamefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh 500,000 kila mmoja kwa kosa la kushambuliana kwa mateke wakati mchezo dhidi ya Biashara United ukiendelea kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza.

Kocha Masoud Djuma alimpiga teke mchezaji Jamali Mtegeta aliyekuwa kwenye benchi kabla mchezaji huyo hajarejesha pigo la aina hiyo kwa kocha wake.

Masoud Djuma ambaye amerudi Tanzania kw amara ya pili na kufanikiwa kupata ajira kwenye timu hiyo, bado hajaweza kuwa na matokeo ya muendelezo wa ushindi tangia alipopata kibarua cha kuifundisha timu hiyo.

KISA SARE TATU MFULULIZO…MANARA AFUNGUKA MAMBO YALIVYOKUWA ‘MTIFUANO’ YANGA… KAMA KAWA..NABI KABAMBWA CHAMAZI AKIIPIGA CHABO SIMBA AISEE…ALIJIPIGA NGUO NYEUSI ASITAMBULIKE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply