Home Burudani BREAKING NEWS….MISS TANZANIA ASHINDA TAJI LA MISS DUNIA…AWAPITA ‘VIPUSA’ WA INDIA NA...

BREAKING NEWS….MISS TANZANIA ASHINDA TAJI LA MISS DUNIA…AWAPITA ‘VIPUSA’ WA INDIA NA ULAYA…


Mshindi wa pili Miss Utalii Tanzania 2021, Judith Ngusa, usiku wa kuamkia leo, ameibuka mshindi wa kwanza katika fainali za dunia za Miss United Nations 2022, zilizo fanyika New Delhi India.

Judith anakuwa mrembo wa kwanza Tanzania , kushinda nafasi ya kwanza katika mashindano ya dunia, ikiwa ni mwendelezo wa rekodi shindano la Miss Utalii Tanzania kushinda taji katika mashindano yote tuliyo wakilisha Tanzania.

Kwa ushindi huo Judith ameendeleza rekodi ya Tanzania ya kushinda mataji katika fainali za dunia, Judith Peter, anakuwa ni Mrembo wa Saba wa Miss Utalii Tanzania kushinda mataji mbalimbali katika fainali za dunia.

SOMA NA HII  BAADA YA KURUDI BONGO TENA....FAILI LA DAVID MOLINGA LATUPWA KWA MZAMBIA...NI KUSUKA AU KUNYOA....