Home Habari za michezo KISA SALAH KUMULIKWA NA TOCHI USONI…FIFA YASHUSHA RUNGU LA ADHABU KWA SENEGAL…

KISA SALAH KUMULIKWA NA TOCHI USONI…FIFA YASHUSHA RUNGU LA ADHABU KWA SENEGAL…


Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA limelitoza faini ya dola 180000 (Tsh. Milioni 418) Shirikisho la soka la Senegal kwa makosa ya mashabiki dhidi ya Egypt ikiwa ni pamoja na kuwasha tochi zenye mwanga mkali wakati wa mechi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 ikiendelea.

Tochi hizo ziliwashwa kuwalenga wachezaji wa Timu ya Taifa ya Misri akiwemo nyota Mohamed Salah.

Nyota huyo anayekipiga katika klabu ya Liverpool alimulikwa na tochi katika mchezo uliopigwa march 29 katika Uwanja wa Diamniadio Olympic na kupaisha penati kufuatia suluhu ya goli 1-1 baina ya timu hizo baada ya michezo yote miwili na kuwashuhudia Senegal wakifuzu.

SOMA NA HII  KOSA LA SIMBA LILIKUWA HAPA DHIDI YA AL AHLY