Home Habari za michezo WAKATI TIMU NYINGINE ZIKIPAMBANIA UBINGWA..KUMBE MBEYA CITY MAWAZO YAO YAKO HUKU AISEE…

WAKATI TIMU NYINGINE ZIKIPAMBANIA UBINGWA..KUMBE MBEYA CITY MAWAZO YAO YAKO HUKU AISEE…


Uongozi wa Klabu ya Mbeya City umesema malengo ni kuona kikosi hicho kinamaliza ndani ya tano bora kwa msimu huu wa 2021/22

Maneno hayo yamesemwa na kocha mkuu wa kikosi hicho Mathias Lule kuwa malengo yao ni kuweza kumaliza ligi ndani katika tano bora hilo lipo wazi na wataweza kupambana ili kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao..

“Kwenye mechi zetu ambazo zimepita hivi karibuni hatukuwa na matokeo mazuri lakini haina maana kwamba hatukuwa bora,tuna amini kwa mechi zilizobaki tutafanya vizuri”amesema.Mathias Lule

Mbeya City imekusanya pointi 28 ipo nafasi ya 5 huku kinara akiwa ni Yanga mwenye jumla ya pointi 55 ambazo amezikusanya.

SOMA NA HII  BAADA YA MANENO MANENO KUWA MENGI KUHUSU KOCHA MPYA...UONGOZI SIMBA WAIBUKA NA TAMKO HILI...

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here