Home Habari za michezo KUHUSU UBINGWA WA YANGA MSIMU HUU…BARBARA AIBUKA NA KUTOA KAULI HII MOJA...

KUHUSU UBINGWA WA YANGA MSIMU HUU…BARBARA AIBUKA NA KUTOA KAULI HII MOJA TU…AMTAMBUA NABI….


Baada ya Yanga kunyakua Ubingwa wake wa 28, na juzi kukabidhiwa rasmi Kombe lake la Ligi Msimu wa 2021/2022 ambao kwa miaka minne ulihikiliwa na watani wao wa Jadi Simba SC.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amethibitisha ule msemo wa kuwa michezo sio uadui baada ya kumpongeza Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi akimsifu kwa kazi nzuri aliyoifanya kunyakua Ubingwa msimu huu.

Kupitia Mtandao wake wa twitter, barbara ameposti picha ya Nabi na kumsindikiza kwa maneno ya pongezi.

Tazama alichoandika Barbara hapa chini;


SOMA NA HII  WILLIAN KUMBE HAKUWA NA FURAHA ARSENAL