Home Habari za michezo NKANE NA MAKAMBO WAFUFUKIA MAZOEZINI YANGA WAKIMPIGA MTU 8-0….CHICO USHINDI KAMA KAWAIDA...

NKANE NA MAKAMBO WAFUFUKIA MAZOEZINI YANGA WAKIMPIGA MTU 8-0….CHICO USHINDI KAMA KAWAIDA ‘KAZUBAA’….


Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi wa mabao 8-0 dhidi ya Friends Rangers katika mchezo wa kirafiki uliopigwa jana.

Mabao ya Yanga yalifungwa na kiungo Dennis Nkane ambaye alitupia kamba mbili, Fiston Mayele alitupia kambani mara moja mzee wa kuwajaza Heritier Makambo yeye alitupia kamba mbili.

Mshambuliaji chipukizi wa timu hiyo Yusuph Athuman yeye alicheka na nyavu mara tatu kwenye mchezo huo wa kirafiki.

Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 64 baada ya kucheza mechi 26

SOMA NA HII  CHIRWA. MOLINGA KUTUPIWA VIRAGO NAMUNGO...MATARAJIO YAMEKUWA NDIVYO SIVYO...