Home Habari za michezo BAADA YA WAARABU KUAMRIWA KUMLIPA FIDIA YA BIL1.6 ..MSUVA AWAPA SHARTI HILI...

BAADA YA WAARABU KUAMRIWA KUMLIPA FIDIA YA BIL1.6 ..MSUVA AWAPA SHARTI HILI GUMU…WAKIZINGUA FIFA INAWACHORA…


Baada ya kuwagaragaza mbele ya Kamati za Shirikisho la Soka Duniani, Mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva amepanga kupokea pesa zake kwa awamu moja tu na si vinginevyo kutoka katika klabu yake ya awali ya Wydad Casablanca.

FIFA imeiamuru klabu ya Wydad Casablanca kumlipa mchezaji huyo Tsh bilioni 1.6 ambayo kwa mujibu wa Msuva pesa hiyo inatakiwa kulipwa ndani ya siku 45 kutoka siku ya maamuzi ya FIFA.

Sasa Msuva amesema pesa hiyo hataki ilipwe kwa awamu bali yeye anataka kuipokea kwa mara moja tu.

SOMA NA HII  UKIACHANA NA KIPUTE CHA SIMBE LEO....YANGA WAINGIA MTEGO WA AZAM FC....