Home Habari za michezo TAARIFA NJEMA KWA MASHABIKI WA YANGA..HAKIKISHA LEO UNABANDO MUDA WOTE…NCHI ITATETEMA UPYAA…

TAARIFA NJEMA KWA MASHABIKI WA YANGA..HAKIKISHA LEO UNABANDO MUDA WOTE…NCHI ITATETEMA UPYAA…


KIUNGO Aziz KI  anatarajiwa kutambulishwa leo Julai 14 na mabosi wa Yanga baada ya kusaini dili la miaka miwili.

Nyota huyo alikuwa anacheza ASEC Mimosas mkataba wake umegota ukingoni hivyo atajiunga na Yanga akiwa ni mchezaji huru.

Anakwenda kuungana na kiungo Bernard Morrison ambaye aliwahi kucheza naye kwenye mashindano ya kimataifa zama zile Morrison alipokuwa ndani ya Simba.

Tayari kwa sasa Morrison naye pia ametambulishwa ndani ya Yanga akiwa ni mchezaji huru baada ya kumaliza kandarasi yake ndani ya Simba.

Taarifa zimeeleza kuwa Aziz KI yupo Bongo kwa muda kwa ajili ya kukamilisha dili hilo ambalo limekamilika kwa asilimia kubwa na kilichobaki ni kutamulishwa.

SOMA NA HII  BAADA YA KUUONA UWEZO WA BEKI MPYA YANGA...NABI KAKUNA KICHWA KISHA AKASEMA HILI..