Habari za michezo

BAADA YA KUILAMBISHA YANGA MKATABA MNONO…SportPesa WAHAMISHIA MABILIONI YAO KWA SINGIDA BIG STARS….

admin August 2, 2022 4:12 pm


Klabu ya Singida Big Stars imeingia makubaliano ya miaka minne na kampuni ya kubashiri ya SportPesa.

Wageni hao wapya wa Ligi Kuu Bara wameingia mkataba huo ambao hata hivyo haujawekwa wazi juu ya kiasi cha fedha kilichowekwa.

Akizungumza Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Dismas Ten amesema sababu ya kutoweka wazi fedha za mkataba huo ni kutokana na makubaliano ya pande zote mbili.

“Tutakuja kutangaza fedha za udhamini huo huko baadae ila kwa sasa ifahamike tu hivyo kwamba mkataba ni wa miaka minne,” alisema Ten aliyechukua nafasi hiyo kutoka kwa Muhibu Kanu ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Masoko na Fedha.

WAKATI YANGA WAKIIALIKA VIPERS YA UGANDA …SINGIDA BIG STARS WAIALIKA TIMU HII KUBWA AFRIKA KWENYE SIKU YAO… MAYELE AONYESHA ‘MAHABA’ YA WAZI KWA MASTAA WA SIMBA…AWAITA KWENYE KIKOSI CHAKE BORA CHA MSIMU…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply