Azam FC

BAADA YA MIEZI KADHAA YA KUAMINIANA…AZAM FC NA KOCHA WAO MSOMALI WAFIKISHANA HATUA HII….

admin August 29, 2022 3:13 pm


Tumefikia makubaliano ya pande mbili na kocha wetu, Abdihamid Moallin, na msaidizi wake, Omary Nasser, kuachia ngazi kama kocha mkuu na msaidizi mtawalia.

Hata hivyo, makocha hao wataendelea kubaki kama sehemu ya idara ya ufundi klabuni kwetu katika nafasi nyingine ambazo tutazitangaza hapo baadaye.

Kwa sasa timu itakuwa chini ya Daniel Cadena, ambaye ni kocha wa makipa, hadi tutakapotangaza kocha mpya.

Cadena ni kocha mwenye leseni ya juu kabisa ya ukocha, UEFA Pro License.

HIZI HAPA SIKU 54 ZA JASHO, DAMU NA MAKASIRIKO KWA SIMBA NA YANGA…BINGWA WA LIGI KUJULIKANA NDANI YA SIKU HIZI… BAADA YA KUTUA NA KULIONA SOKA LA TZ…ALEX SONG KAITAJA SIMBA SC TU ….KAFUNGUKA HAYA MENGINE KUHUSU SIMBA DAY…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply