Home Burudani BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA NA RONALDO..OMMY DIMPOZI ALAMBA HILI SHAVU MAN...

BAADA YA KUPOST PICHA AKIWA NA RONALDO..OMMY DIMPOZI ALAMBA HILI SHAVU MAN UTD…AWA MTZ WAKWANZA …


Klabu ya Manchester United imempost staa wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz kupitia ukurasa wao wa Instagram.

Kupitia Insta Story yao wamempost staa huyo ambaye siku ya Jumatatu alifanikiwa kupata mualiko wa klabu hiyo kwenye uwanja wa Old Trafford dhidi ya Liverpool walioshinda 2-1

Ommy alipata nafasi ya kupiga picha na mastaa kibao wa timu hiyo, akiwemo Cristiano Ronaldo, David De Gea aliyemkabidhi jezi ya Taifa Stars, Bruno Fernandez na wengine.

SOMA NA HII  BAADA YA KUMALIZANA NA 'WAJEDA' ...SIMBA YATABIRIWA MAKUBWA LIGI KUU...