Home Burudani JIWEKE KARIBU NA USHINDI NA JACKPOTS ZA KASINO YA MERIDIANBET….

JIWEKE KARIBU NA USHINDI NA JACKPOTS ZA KASINO YA MERIDIANBET….


ROCK ā€˜Nā€™ ROLL na kushinda ofa na
Mizunguko ya Bure na Sloti na Forest Rock.

Sloti ya Forest Rock           

Je, unajua kuwa wanyama pori wanaweza kukuletea ushindi? Ndio! Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbetyote hayo yanawezekana. Meridianbetinakuletea sloti mpya yenye maudhui ya Rock ā€˜nā€™ Roll iliyotengenezwa na watengenezaji maarufu wa sloti- Expanse Studio iitwayo Forest Rock.

Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama ilivyoada kwenye Kasino ya Mtandoni ya Meridianbet, inakuhakikishia ushindi muda wote. Sloti hii pendwa ya Forest Rock ina alama mbalimbali za wanyama pori wenye kukuletea faida kama vile Sunguraalievaa headphone, Paka mwitu anaepiga gitaa na Dubu akiwa kama meneja, Simba akiwa ndiye msanii nyota na Tembo akiwa kama mpiga ngoma. Sio hivyo tu, alama za Karata nazo zipo. Unasubiri nini kujiunga na familia ya washindi ya Meridianbet? Jiunge leo na ushinde.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Forest Rock

Ni rahisi sana kucheza sloti ya Forest Rock, unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha unapata alama tatu zenye kufanana ili ushinde. Kubwa zaidi ya yote ni pale utakapo pata alama tatu zenye nembo ya mchezo wa Forest Rock ambayo itakulipa hadi mara 20 ya dau uliloliweka. Sio hayo tu, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakupa fursa ya kupata hadi mizunguko 20 ya bure.

Ukipata Jokeri tatu kwenye sloti hii utapewa mizunguko mingine zaidi. Sloti hii ya Forest Rock ina chaguo la kubashiri (Gambling option) ambalo linakupa fursa ya kuchagua kati ya kadi mbili ambazo ni Nyekundu na Nyeusi, uchague ipi itaanguka mezani na itakupa mara mbili ya faida uliyoipata. Cheza na Meridiabet upate bonasi ya kuanzia hadi shilingi 3,500za kitanzania. Jiunge na familia ya mabingwa ya Meridianbet sasa!

SOMA NA HII  NABI AFUNGUKA KILICHOMPONZA KAIZER CHIEFS BAADA YA KUONDOKA YANGA