Home CAF KWA TAARIFA YAKO….HIZI HAPA NDIO TIMU RASMI ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO MIPYA YA CAF...

KWA TAARIFA YAKO….HIZI HAPA NDIO TIMU RASMI ZITAKAZOSHIRIKI MICHUANO MIPYA YA CAF SUPER LEAGUE….


Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo Agosti 10,2022 limezindua rasmi mashindano mapya ya Africa Super League yatakayoshirikisha vilabu 24 kutoka Mataifa 16 tofauti ya kanda tatu za kisoka Afrika huku kila ukanda ukitoa vilabu 8

CAF imepitisha uamuzi huo kupitia Mkutano wake Mkuu wa kawaida wa 44 unaofanyika jijini Arusha Tanzania

Bingwa wa michuano hiyo atavuna zaidi ya bilioni 233 za Tanzania

Tanzania itawakilishwa na Simba SC iliyothibitishwa kushiriki kwenye michuano hiyo inayotarajiwa kufanyika kila mwaka.

Utaratibu rasmi wa michuano hiyo utatangazwa na CAF hivi karibuni

Vilabu 24 vitakavyoshiriki CAF Super League

1 Al Ahly 

2 Zamalek

3 Pyramid 

4 Al Masry

5 Wydad AC 

6 Raja Athletic 

7 RS Berkane 

8 Esperance 

9 Etoil Sportive Du Suhel 

10 Orlando Pirates 

11 Kaizer Chiefs

12 Mamelodi Sundowns

13 JS Kabyile

14 CR Belouzidad 

15 E.S Setif 

16 TP Mazembe 

17 Horoya AC 

18 SC Enyimba

19 Petro de Luanda

20 Simba SC 

21 Asante Kotoko

22 Al Hilal 

23 Asec Mimosas

24 Coton Sport

SOMA NA HII  BAADA YA YANGA KUWAFUNGA KWA TABU WADJIBOUTI....DICKSON JOB MAGUMU WALIYOPITIA...