Home Habari za michezo ‘UMC’ WA VICHORONI WA MANARA WAMTIA MATATIZONI RAIS WA YANGA….TFF WAMFUNGULIA MSHITAKA...

‘UMC’ WA VICHORONI WA MANARA WAMTIA MATATIZONI RAIS WA YANGA….TFF WAMFUNGULIA MSHITAKA HAYA…


TFF imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said & Haji Manara.

Manara anashtakiwa kwa kutoheshimu adhabu aliyopewa ya kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili.

Hersi anashtakiwa kwa kushindwa kuhakikisha Yanga inaheshimu uamuzi huo.

“Manara alifungiwa kujihusisha na shughuli yoyote ya mpira wa miguu lakini ameshindwa kutekeleza adhabu hiyo, naye Hersi amekwenda kinyume na katiba ya TFF na Yanga,” imesema sehemu ya Taarifa hiyo.


SOMA NA HII  BAADA YA KUSAJILIWA MOROCCO..FISTON AIBUKA NA HAYA KUHUSU YANGA...AGUSIA DENI LAKE...