Home CAF JAMA JAMA..HAWA WAANGOLA WAMEPANIA AISEE…’CHEKI’ MPUNGA WATAKAO PEWA WACHEZAJI WAO WAKISHINDA KESHO..

JAMA JAMA..HAWA WAANGOLA WAMEPANIA AISEE…’CHEKI’ MPUNGA WATAKAO PEWA WACHEZAJI WAO WAKISHINDA KESHO..

Wakati Kikosi cha Primeiro De Agosto kikitarajiwa kushuka uwanjani keshoΒ  kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC, Uongozi wa klabu hiyo ya Angola umewaahidi β€˜DONGE NONO’ Wachezaji wao endapo watapindua meza na kutinga Hatua ya Makundi.

Taarifa kutoka Angola zinadai kuwa, kila mchezaji amehaidiwa zaidi ya milioni kumi ili kuhakikisha wanaifunga Simba na Kufuzu hatua ijayo ya makundi.

Primeiro De Agosto itacheza mchezo wa Mkondo wa Pili Jumapili (Oktoba 16) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza nyumbani kwa mabao 3-1 mwishoni mwa juma lililopita (Jumapili-Oktoba 09).

SOMA NA HII  ZILE TETESI ZA 'BEKI KISIKI' NATHAN IDUMBA KUTAKIWA SIMBA ZIMEMUIBUA WAKALA WAKE...KAANIKA UKWELI HUU ..