Home Habari za michezo NABI AZIDI KUMFUNIKA MGUNDA NA SIMBA YAKE…

NABI AZIDI KUMFUNIKA MGUNDA NA SIMBA YAKE…

Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara.

Nabi raia wa Tunisia amewashinda Mubiru Abdallah wa Mbeya City na Thiery Hitimana wa KMC alioingia nao fainali.

Yanga SC kwa mwezi Oktoba:-

✅ 2-1 vs Ruvu Shooting (A)
✅ 1-0 vs KMC (H)
✅ 1-0 vs Geita Gold (A)
✅ 1-1 vs Simba SC (H)

SOMA NA HII  HUKU KANUNI MPYA ZA LIGI KUU ZIKIWA ZINAPENDELEA MASTAA WA NNJE TU...KIBU DENIS ANG'ATA MENO KWA HASIRA...