Home Habari za michezo BAADA YA KUTIMULIWA KIMYA KIMYA YANGA…ZAHERA ALA SHAVU POLISI TZ…

BAADA YA KUTIMULIWA KIMYA KIMYA YANGA…ZAHERA ALA SHAVU POLISI TZ…

Aliyekua Kocha wa Yanga na baadae Mkurugenzi wa soka la vijana na wanawake wa klabu hiyo Mwinyi Zahera.

Zahera amejiunga na klabu ya Ligi Kuu ya Polisi Tanzania hadi mwisho wa msimu kwa mkataba wa miezi 6.

Soma kwa kirefu Taarifa ya Polisi Tanzania;

SOMA NA HII  WAKATI JAHAZI LA SIMBA LIKIPITIA DHORUBA KALI...'FEI TOTO' AIBUKA NA KUUTAKA UFALAME WA CHAMA...