Home Geita Gold FC KWA TAKWIMU CHAMA AKASOME KWA SAIDO NTIBAZONKIZA…KAFUNIKWA VIBAYA MNOO… Geita Gold FCHabari za michezoHabari za SimbaHabari za Simba LeoMichezoMichezo BongoMichezo Soka la BongonewsSimba SC KWA TAKWIMU CHAMA AKASOME KWA SAIDO NTIBAZONKIZA…KAFUNIKWA VIBAYA MNOO… By admin - December 6, 2022 3562 0 Mshambuliaji wa Geita Gold, Saido Ntibazonkiza amezidi kuonyesha ufundi wake kwenye soka katika kufunga na kutoa pasi za mwisho. Ni Clatous Chama pekee ndio anaemzidi mchezaji huyo aliepata kupita kwa watani wa Simba, Klabu ya Yanga. Saido anahusishwa kutua Simba dirisha dogo ili kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Takwimu za Saido vs Chama. Saido Mabao -4 Asisti-6 Chama Mabao-2 Asisti-7