Habari za michezo

WALIOKOSA PENALTI UFARANSA WABAGULIWA….MASHABIKI ‘WAWATOLEA POVU.’..

admin December 19, 2022 3:25 pm

Nyota wa timu ya taifa ya Ufaransa wenye asili ya Afrika, Kingsley Coman na Aurelien Tchouaméni, wanashambuliwa kibaguzi na baadhi ya mashabiki wa taifa hilo mara baada ya kukosa mikwaju ya penati kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Argentina hapo jana.

Mashabiki hao wanaacha maoni(comments) za kibaguzi kama vile (???????? ) na wengine kuwaita “Nigas”kwenye kurasa za Instagram za mastaa.

Tukio kama hili limewahi kuwakuta nyota wa England Bukayo Saka, Rashford na Sancho walivyokosa penati dhidi ya Italia kwenye fainali ya Mataifa ya Ulaya (EURO 2020).

KAMA ILIKUPITA ,…HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JANA MGUNDA AKIBEBA TUZO NA ‘MAPESA’ …. ALICHOSEMA BOSI WA GEITA GOLD BAADA YA KUPIGWA 5-0 NA SIMBA…ATANGAZA MSAKO NCHI NZIMA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “WALIOKOSA PENALTI UFARANSA WABAGULIWA….MASHABIKI ‘WAWATOLEA POVU.’..”

  1. Niyokwizera says:

    Nawapa pole 202? Wachezee inchi zao

Leave a Reply