Home Azam FC TETESI ZA USAJILI….AJIB NA SINDIGA BIG STARS MAMBO NI BAM’BAM….CHILUNDA KUMFUATA…

TETESI ZA USAJILI….AJIB NA SINDIGA BIG STARS MAMBO NI BAM’BAM….CHILUNDA KUMFUATA…

Tetesi za usajili bongo

Singida Big Stars wanatajwa kukamilisha usajili wa Kiungo Ibrahim Ajibu Migomba kutoka Azam FC.

Ajib alijiunga na Azam Disemba mwaka 2021 kwa Mkataba wa mwaka mmoja akitokea Simba SC.

Wakati huo huo Singida Big Stars wako katika hatua za mwisho kumchukua mshambuliaji asiye na namba kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC Shabani Idd Chilunda.

SOMA NA HII  KIMENUKAA YANGA...NABI ALIA NA FEI TOTO ISHU YA TIMU KUSHINDA KWA SHIDA...MSIMAMO WAKE HUU HAPA...