Home news KISA JEZI MPYA SIMBA…MO DEWJI ASHINDWA KUJIZUIA…’AMCHANA LIVE’ VUNJA BEI MTANDAONI…

KISA JEZI MPYA SIMBA…MO DEWJI ASHINDWA KUJIZUIA…’AMCHANA LIVE’ VUNJA BEI MTANDAONI…

Jezi Mpya za Simba Kimataifa

Mkurugenzi wa Makampuni ya METL Group na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji MO kupitia ukurasa wa Twitter wa Mzabuni wa Kuzalisha jezi za klabu hio Fred Fabian Ngajiro (Fred VunjaBei) ame comment juu ya kutaka kujua kwanini kwenye jezi mpya zitazoenda tumika katika michuano ya klabu Bingwa Afrika, Matangazo ya MO yametolewa?

Mashabiki na Wadau wengine wa soka wamechagiza zaidi kwa kuandika jumbe za kumkosoa na kumshauri mzabuni huyo juu ya mwenendo wake katika suala zima lihusianalo na matayarisho ya Jezi.

Hapo wadau wengi waendelea kuwa na shauku kubwa kufahamu nini kitaendelea juu ya swali hilo.

Habari za Simba

SOMA NA HII  BAADA YA SIMBA KUANZA MCHAKATO WA UWANJA WAO..YANGA NAO WAJIBU MAPIGO... SENZO 'AWAKA'...