Home Habari za michezo KISA JEZI ZA SIMBAKUCHELEWA..JEMEDARI SAIDI AMCHARUKIA VUNJA BEI …ADAI NI MBABAISHAJI..

KISA JEZI ZA SIMBAKUCHELEWA..JEMEDARI SAIDI AMCHARUKIA VUNJA BEI …ADAI NI MBABAISHAJI..

Habari za Simba

Baada ya Taarifa Rasmi kutolewa na klabu ya Simba kuhusiana na upatikanaji wa Jezi mpya za Michuano ya Kimataifa kuwa zimekwama nchini Ethipia.

Mchambuzi wa Michezo nchini Jemedari Said amefunguka namna ubabaishaji ulivyo kwa Timu ya Simba na mtu anaehusika na masuala ya utoaji wa jezi yani Fred Vunja Bei;

“Simba SC na Vuniabei mmeonyesha ubabaishaji mkubwa kwene issue ya jezi tangu msimu huu ulipoanza. Habari ya kwamba zile jezi mlizoahidi kuanza kuuzwa leo hazipo tena na eti zimekwama Ethiopia na zitaletwa kabla ya mechi ni muendelezo wa ubabaishaji kama ule wa mwanzo wa msimu”

Itakumbukwa kuwa, Mzalishaji wa jezi za Simba, Fredi Vunja Bei alisema kuwa jezi hizo maalumu kwa ajili ya mashindani ya klabu bingwa Afrika zingeanza kupatikana leo tareh 15,lakini badala yake leo wametoa taarifa kakasi kuhuus jezi hizo.

Wikiendi hii, siku ya Jumamosi Simba itashuka dimbani kukipiga na Raja Casablanca katika mchezo wa hatua ya makundi ya klabu bingwa afrika .

SOMA NA HII  ROBERTINHO ANOGESHA USAJILI WA SIMBA AJA NA MDAKA RISASI KUTOKA BRAZILI...... HUKU SABABU ZAKUWEKA KAMBI UTURUKI ZATAJWA