Habari za Yanga
Habari za michezo

KUHUSU SAKATA LA FEI TOTO…FATUMA KARUME AIBUKA NA HILI…ATAJA UTUMWA…

admin March 4, 2023 9:31 pm

Maneno ya wakili wa Feisal Salum (Fei Toto), Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Hivi karibuni alisema kuwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linamlazimisha mchezaji huyo kufanya kazi na Yanga wakati ni kinyume na sheria za FIFA.Habari za Yanga

Mwanasheria huyo amesema TFF ilipaswa kujiuliza ikiwa mchezaji huyo alivunja mkataba kwa njia sahihi au la, na kama hakutumia njia sahihi alipaswa apigwe faini na si kulazimishwa kuitumikia klabu hiyo.

RASMI….PHIRI AKABIDHIWA ‘SHOW’ ZAKE SIMBA…MBRAZILI AAMUA KUJILIPUA KUMJARIBU TENA… AHMED ALLY: BAADA YA KUPIGWA NA RAJA…SIMBA NZIMA TULIKATA MOTO…HATUWAWEZZI WALE..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

One response to “KUHUSU SAKATA LA FEI TOTO…FATUMA KARUME AIBUKA NA HILI…ATAJA UTUMWA…”

  1. Venance Msanjila says:

    TFF Na wapenda sana ila pamoja na hilo sioni hatua mnazochukuwa kuhusu Fei Toto…Ninachokiona ni ONYO Kali kwa wachezaji wa ndani kudai maslahi yao pale wanapohisi mikataba yao iboreshwe kimaslahi…Kweli Mmeamua kuwakata kilimilimi kwa njia HIYO…!!!…

Leave a Reply