Home Habari za michezo BEKI SIMBA QUEENS AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA MAYELE…AANIKA KILA KITU A-Z…

BEKI SIMBA QUEENS AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA MAYELE…AANIKA KILA KITU A-Z…

Habari Simba

Wakati Fiston Mayele akionesha maajabu yake katika msimamo wa wafungaji waLigi Kuu Bara, inaonekana pia hayuko nyuma katika kuwaongoza vijana na kuwapa ushauri nini cha kufanya ili kufikia ndoto zao.

Kauli hiyo inathibitishwa na Mlizi wa Simba Fatuma Issa maarufu kama ‘Fetty Densa’amapo amemzungumzia Mshambuliaji huyo akisema:

β€œNi wachezaji wa timu mbalimbali ambao wanakuwa wananishauri kuhusu karia yangu, akiwemo na Mayele ambaye ni kinara wa mabao 15 ya Ligi Kuu Bara, huwa ananiambia kazi ya soka inatakiwa kujitoa na kutokukata tamaa;

β€œβ€Kuna wakati ananipongeza, pia ananishauri niwe mbunifu kwenye majukumu yangu na kunisisitiza mazoezi binafsi ni muhimu ili kuhakikisha kipaji changu kitazamwe ndani na nje.”

SOMA NA HII  TUZO ZA CAF: SAKHO AIPEPERUSHA BENDERA YA SIMBA ....ABEBA TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA KIBABE....MANE AMPIGIA SALUT..