Home Michezo CLATOUS CHAMA…MIMI KAMA MCHEZAJI SINA MANENO MENGI…NITAONYESHA VITENDO ZAIDI

CLATOUS CHAMA…MIMI KAMA MCHEZAJI SINA MANENO MENGI…NITAONYESHA VITENDO ZAIDI

CLATOUS CHAMA...MIMI KAMA MCHEZAJI SINA MANENO MENGI...NITAONYESHA VITENDO ZAIDI
CLATOUS CHOTA CHAMA MWAMBA WA LUSAKA

β€œJambo muhimu tunalotakiwa kujua ni mchezo ni muhimu kwetu na mimi kama mchezaji sina maneno mengi ya kusema sababu nadhani ninachotakiwa kusema ni kuonyesha ninachoweza kufanya kwenye mchezo.”- Clatous Chama.

SOMA NA HII  KUHUSU CHAMA...MZIZE AMPA MAUA YAKE