Home Michezo INONGA NA MAYELE NDANI YA KIKOSI KIMOJA…WAONDOKA DAR ES SALAAM

INONGA NA MAYELE NDANI YA KIKOSI KIMOJA…WAONDOKA DAR ES SALAAM

INONGA NA MAYELE NDANI YA KIKOSI KIMOJA...WAONDOKA DAR ES SALAAM

Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba Sc Henock Inonga Baka na Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele tayari wameanza majukumu katika timu yao ya Taifa ya DR Congo.

Timu ya Taifa inajiandaa na mechi za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Timu ya Taifa ya Mauritania.

SOMA NA HII  ENG, HERSI...KUNA WATU WALIMSHAWISHI MZIZE ASEPE YANGA