Tetesi za Usajili Simba
Habari za michezo

KUHUSU MIQUISSONE NA AL AHLY …SAFARI HII….SIMBA WASHINDWE WENYEWE TENA…

admin March 25, 2023 6:05 pm

Uongozi wa Klabu ya Al Ahly umemueleza CEO wa klabu hiyo kuwa ahakikishe anawaondoa wachezaji watatu katika dirisha lijalo la usajili.

Wachezaji hao ni Luis Miquissone, Bruno Savio na Walter Bwalya ambao wanapaswa kuwa wameondoka.

Kuondoka kwa wachezaji hao ni kutoa fursa kwa klabu kuingiza wachezaji wapya.

Kuachwa kwa Miquissone inaweza kuwa ni habari njema kwa Simba SC ambao mara kadhaa walijaribu kutaka kumrudisha mchezaji huyo lakini inaelezwa malipo makubwa ya mshahara wake yalikuwa kikwazo kwa SImba na hiyo kwenda kwa Mkopo katika klabu ya Abha ya nchini Saudi Arabia.

Miquissone aliuzwa na Simba mwishoni mwa msimu wa mwaka 2020/2021 akiwa ashafanya makubwa na kujitengenezea ufalme wake ndani ya klabu ya Simba.

HAWA HAPA MASTAA MUHIMU WA YANGA WATAKAOKOSEKANA MECHI NA MAZEMBE…DIARRA NDANI… BAADA YA CHAMA KUKOSA TUZO LA CAF….MDAU AIBUKA NA HILI KUKANDIA MFUMO WA KUPIGA KURA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “KUHUSU MIQUISSONE NA AL AHLY …SAFARI HII….SIMBA WASHINDWE WENYEWE TENA…”

  1. It’s will a great pressure for simba to bring back again Luis muquisson

Leave a Reply