Michezo
RAISI WA SIMBA MO DEWJI AFANYA KUFURU HASWAAA…MECHI YA TAIFA STARS VS UGANDA
Marce Ben Komba
March 27, 2023
3:53 pm
Rais wa heshima, Mohammed Dewji amenunua tiketi 5,000 kwa ajili mashabiki katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON kati ya
Tanzania na Uganda utakaopigwa kesho katika Uwanja wa Benjamini Mkapa majira ya saa 2:00 usiku.
Wengine ni mfadhali wetu wa zamani, Azim Dewji amenunua tiketi 1,000, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah na Mwenyekiti wa klabu, Murtaza Mangungu kwa pamoja wamenunuavg
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.