Home CAF CHAMA MFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA…LIST KAMILI HII HAPA

CHAMA MFUNGAJI BORA LIGI YA MABINGWA…LIST KAMILI HII HAPA

Habari za Simba SC

Kingo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama ameingia kwenye orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa kupachika mabao katika katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2023.

Mpaka sasa, Mzambia huyo ana mabao manne huku mabao matatu akifunga katika mechi moja dhidi ya Horoya kwenye Dimba la Mkapa, Jumamosi, Machi 18, 2023.

1. Clatous Chama (Simba) – 4

2. Makabi Lilepo (Al Hilal) – 4

3. Kahraba (Al Ahly) – 3

4. Cassius Mailula (Mamelodi) – 3

6. Peter Shalulile (Mamelodi) – 3

7. Soufiane Benjdida (Raja Casablanca) – 2

8. Sadio Kanoute (Simba) – 2.

SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI vs AL AHLY...SIMBA WAMTUPIA 'MSALA' WOTE BENCHIKHA....