Home CAF CLATOUS CHOTA CHAMA NDANI YA MBIO ZA KUWANIA MCHEZAJI BORA CAF CHAMPIONSHIP

CLATOUS CHOTA CHAMA NDANI YA MBIO ZA KUWANIA MCHEZAJI BORA CAF CHAMPIONSHIP

Chama kuingia kwenye kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa wiki
kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa wiki CAF

Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang’anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round ya 4 kwenye michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika

1. Ahmed zizo/ Zamalek

2. Clatous Chama/ Simba SC

3. Peter Shalulile/ Mamelody

4. Walid Sabbar / Raja Casablanca

SOMA NA HII  HII INABALAA TAZAMA WALICHIFANYA KWENYE MECHI YA KIRAFIKI HUKO UTURUKI