Home Habari za michezo FEISAL SALUM “FEI TOTO” AULA TAIFA STARS….. MASTAA WENGINE HAWA HAPA….

FEISAL SALUM “FEI TOTO” AULA TAIFA STARS….. MASTAA WENGINE HAWA HAPA….

Tetesi za Usajili Yanga

Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda

Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa pembeni wa Simba, Mohamed Husseini na Shomari Kapombe.

FEI TOTO AITWA TAIFA STARS KIKOSI CHA WACHEZAJI31
KIKOSI CHA TAIFA STARS CHA WACHEZAJI 31
SOMA NA HII  PAMOJA NA KUKOSA MAGOLI YA WAZI JANA....STRAIKA MZUNGU WA SIMBA AZIDI KULIKOROGA...ATOA UJUMBE HUU MKALI...