Home Uncategorized HIVI HAPA VIGONGO VYA MOTO KWA SIMBA KABLA YA KUKUTANA NA YANGA

HIVI HAPA VIGONGO VYA MOTO KWA SIMBA KABLA YA KUKUTANA NA YANGA

SIMBA ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara, Februari 25 wana kazi ya kumenyana na Stand United kwenye Uwanja wa CCM Kambarage.

ndani ya mwezi huu Februari kabla ya kukutana na Yanga ina dakika 270 za moto ambazo ni sawa na mechi tatu kabla ya kukutana na Yanga, Machi 8, Uwanja wa Taifa.

Ikimalizana na Stand United itarejea Dar, Machi 1, Simba itamenyana na KMC, Uwanja wa Taifa mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 2-0.

 Azam FC itamenyana na Simba Machi 4 Uwanja wa Taifa, mchezo wa kwanza Simba ilishinda kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kwanza.
Machi 8 Simba itakutana na Yanga kwenye mchezo utakaochezwa Uwanja wa Taifa mchezo wa kwanza Simba ililazimisha sare ya kufungana mabao 2-2.
SOMA NA HII  WACHEZAJI SABA SIMBA KUACHWA - VIDEO