Home yanga FEISAL SALUM “FEI TOTO” ALIKUWA NA STRESS…MGOGORO NA YANGA WAMSUMBUA…AITWA STARS KUPUNGUZA...

FEISAL SALUM “FEI TOTO” ALIKUWA NA STRESS…MGOGORO NA YANGA WAMSUMBUA…AITWA STARS KUPUNGUZA MAWAZO

Habari za Yanga

Wakati mjadala ukizidi kupamba moto kutokana na kujumuishwa katika kikosi cha Timu ya Taifa Kiungo wa Yanga, Feisal Salum “Fei Toto” wakati amekaa nje pasipo kucheza mchezo wowote wa mashindano kwa muda usiopungua miezi mitatu kutokana na kuwa na mgogoro na klabu yake.

Kamanda Geof Leah anasema kuwa Feisal Salum ameitwa timu ya Taifa ili kuondolewa Stress (msongo wa mawazo) kutokana na hiki ambacho anakipitia kati yake na Yanga.

SOMA NA HII  BAADA YA KIPIGO KOCHA WYDAD...ASINGIZIA HAWAJAZOEA KUCHEZA SAA 10