Home Habari za michezo MCHAMBUZI WA SOKA….SIO JAMBO LA KUSHANGAZA…TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS

MCHAMBUZI WA SOKA….SIO JAMBO LA KUSHANGAZA…TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS

MCHAMBUZI WA SOKA....SIO JAMBO LA KUSHANGAZA...ZIMBWE Mohammed Hussein TSHABALALA KUACHWA TAIFA STARS

Machi 13 Kikosi cha Wachezaji 31 cha Timu ya Taifa kilitangazwa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu AFCON dhidi ya Timu ya Taifa ya Uganda.

Mbali na kuitwa kikosi hicho kuna wachezaji wamekosekana akiwemo mlinzi wa kushoto wa Simba SC Mohammed Hussein “Tshabalala”

Wengi wamehoji kukosekana kwa beki huyo ambae yupo kwenye ubora wa juu kwa sasa, lakini Mchambuzi wa Soka Geoff Lea amesema kwake yeye sio jambo la ajabu kutoitwa kwa mchezaji huyo.

SOMA NA HII  HUYU HAPA KIUNGO HATARI WA SIMBA...MFAHAMU KIUNDANI ZAIDI...ATAKAYE WAUA YANGA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here