Home Habari za michezo GOLIKIPA YANGA ATIMKIA KENYA…ATAMBULISHWA KIBABE…AKABIDHIWA JEZI SHANGWE TU

GOLIKIPA YANGA ATIMKIA KENYA…ATAMBULISHWA KIBABE…AKABIDHIWA JEZI SHANGWE TU

GOLIKIPA YANGA ATIMKIA KENYA...ATAMBULISHWA KIBABE...AKABIDHIWA JEZI SHANGWE TU

Golikipa wa zamani wa Yanga SC, KMC na Mtibwa Sugar SC, Farouk Shikalo amejiunga na klabu ya Kakamega Homeboyz ya nchini Kenya.

Shikalo alikuwa mchezaji huru baada ya kuachana na Mtibwa Novemba mwaka 2022 kwa makubaliano ya pande mbili na amepewa jezi namba 39.
Ukisema cha nini wenzako wanawaza watakipata lini.

SOMA NA HII  MBABE WA YANGA CAFCC AJIUZULU