Home Habari za michezo MBABE WA YANGA CAFCC AJIUZULU

MBABE WA YANGA CAFCC AJIUZULU

Habari za Yanga

Ikiwa imepita miezi kadhaa Wana-Yanga wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya kupoteza Kombe la Shirikisho Afrika, Kocha Mkuu wa USM Alger ya Algeria, Abdelhak Benchikha 959) ametangaza kujiuzulu.

USM Alger imethibitisha taarifa hiyo jana Jumatatu Oktoba 9, 2023 katika mtandao yake wa kijamii huku sababu kocha huyo kujiuzulu zikiwa hazijawekwa wazi.

Benchikha ameipa timu hiyo mafanikio makubwa ikiwemo Kombe la Shirikisho Afrika 2022/2023 pamoja mbele ya Yanga pamoja na ubingwa wa CAF Super Cup wakiifunga Al Ahly licha ya kutomaliza nafazi za juu katika ligi ya Algeria kwa msimu uliopita.

SOMA NA HII  KASI YA BENCHIKHA YAWASHITUA MAKOCHA